• Kenya: info@simbapakasafaris.com EUROPE: jm.simba.paka.safaris@gmail.com
  • kenya+254722775851 Europe +45 81 61 25 25

Learn Swahili

simba      -

Learn Swahili

Habari!

(Hello!/Hi!)

 

Nzuri!

(Good!/Fine!)

 

Ninaitwa James. Wewe unaitwaje?

(My name is james. What’s your name?)

 

Ninaitwa Mornica. Nimefurahi kukujua.

(My name is Mornica. I’m pleased to know you.)

 

Unazungumza Kiswahili?

(Do you speak Swahili?)

 

Ndio! Ninazungumza Kiswahili.

(Yes! I speak Swahili.)

 

Kidogo tu!

(Just a little bit!)

 

Hapana! Sizungumzi Kiswahili. Ninazungumza Kiingereza tu!

(No! I don’t speak Swahili. I only speak English!)

 

Ninatokea Marekani. Wewe unatokea wapi?

(I’m from the United States of America. Where are you from?)

 

Ninatokea Japani. Nipo hapa kwa matembezi.

(I’m from Japan. I’m visiting here.)

 

Ninatokea Uingereza. Nipo hapa kwa kazi.

(I’m from U.K. I’m here on business.)

 

Ninatokea Ujerumani. Nimekuja kujifunza Kiswahili.

(I’m from Germany. I’ve come to learn Swahili.)

 

Kwaheri! Nimefurahi kukutana na wewe.

(Goodbye! I’m pleased to meet you.)

 

Karibu! Nimefurahi pia kukutana na wewe.

(Goodbye! I’m also pleased to meet you.)

 

Utapenda kunywa nini?

(What would you like to drink?)

 

Nitakunywa maji tu. Nina kiu sana!

(I’ll just drink water. I’m very thirsty.)

 

Nitakunywa kahawa bila maziwa.

(I’ll drink coffee without milk.)

 

Nitakunywa chai na maziwa na sukari kidogo.

(I’ll drink tea with milk and little sugar.)

 

Nitakunywa soda. CocaCola, tafadhali.

(I’ll drink soda. CocaCola, please.)

,

Tafadhali niletee chakula moto haraka. Nina njaa sana!

(Please bring me some hot food quickly. I’m very hungry!)

 

Huu hapa wali, samaki, mbatata, na saladi. Nitakuletea keki baadaye.

(Here is rice, fish, potatoes, and salad. I’ll bring you cake later.)

 

Visit Us On TwitterVisit Us On FacebookVisit Us On Google PlusVisit Us On YoutubeCheck Our Feed